728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 22, 2017

  WATANZANIA NA WAZAMBIA WAUNGANA PAMOJA WASHEREKEA USIKU WA TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS JIJINI DAR

  Pichani ni WATANZANIA alioungana na WAZAMBIA kusherekea usiku wa CASTLE LITE UNLOCKS party iliyofanyika jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye tamsaha kubwa linalotarajia kufanyika leo Julai 22, 2017 viwanja vya Leaders Club na kuwakutanisha wasanii toka mataifa mbali mbali. Wasanii watakaopamba tamasha hilo ni Diamond Platnumz, Casper Nyovest Kutoka Afrika kusini, Vanessa Mdee, kundi la Weusi na Navy Kenzo ambao ni wa hapa hapa nchini Tanzania.
  WAZAMBIA wakisherekea shangwe za CASTLE LITE UNLOCKS party iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wazambia wameingia nchini kwa udhamini wa bia ya Castle Lite kuja kuhudhuria tamasha kubwa 
  Shangwe zikiendelea.
  Wazambia wakisherekea utamu wa Castle Lite.
  Brand Manager wa Castle Lite, Isaria Kilewo akitoa salamu za shukrani kwa WATANZANIA na WAZAMBIA waliodhuria kusherekea usiku wa CASTLE LITE UNLOCKS party iliyofanyika jijini Dar es Salaam 
  Kila mmoja alishow love...
  Msosi nao ulikuwa wa kutoshaaaa...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATANZANIA NA WAZAMBIA WAUNGANA PAMOJA WASHEREKEA USIKU WA TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top