728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 26, 2017

  Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene


  1Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – George Simbachawene akisikiliza kwa makini taarifa ya wananchi wa Kijiji cha Lukole wakati wa ziara yake katika Jimo la Kibakwe.
  2Baada ya Waziri wa George Simbachawene (Kulia) kupokea malalamiko ya wananchi wa Kijiji cha Lukole kuhusu shida ya maji alikwenda kwenye bomba la Kijiji kuzungumza na wakina mama ambao ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo na kuwataarifu namna ambavyo amekwishaanza kushughulikia kero hiyo.
  3Wananchi wa Kijiji cha Kingiti walimsimika WaziriSimbachawene kuwa Chief wa Kigogo na kumkabidhi vifaa Vya Kimila.
  4Waziri wa Tamisemi George Simbachawene (katikatialiyekaa) akisimikwa kuwa chief wa Kigogo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kingiti.
  5Waziri wa Tamisemi Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kingiti wakati wa zaiara yake katika Jimbo la Kibakwe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top