728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 16, 2017

  VIONGOZI 6 WA CHADEMA AKIWEMO MBUNGE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RUVUMA

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Gemini Mushy Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi 6 wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) akiwemo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia chama hicho ZUBEDA SAKURO , kwa kosa la kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa na kuzua vurugu wilayani Nyasa mkoani Ruvuma. Hii hapa taarifa yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VIONGOZI 6 WA CHADEMA AKIWEMO MBUNGE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RUVUMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top