728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 12, 2017

  UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR.

  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia wakibadilishana hati baada ya kitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Postdam Ujarumani wakionesha hati walizotiliana saini kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. 


  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
  Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UTILIAJI SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA MANISPAA YA MJINI UNGUJA NA JIJI LA POSTDOM WAFANYIKA ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top