728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 21, 2017

  Ujumbe Ubalozi wa Israel Watembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili Leo

   Ujumbe kutoka Ubalozi wa Israel nchini Kenya umetembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo. Maestro Nir Brand akipiga kinanda ili kuwaburudisha watoto wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kushoto ni Ofisa Uhusiano kutoka ubalozi huo, Angela Mogusu.  
   Watoto wanaotibiwa katika hospitali hiyo wakisikiliza moja wa wimbo uliokuwa ikiimbwa na Brand leo kwenye Jengo la watoto.
   Watoto wakicheza na Daktari Bingwa wa Watoto, Rehema Laiti leo.
    Ilala Brand akipiga makofi ikiwa ni sehemu ya kuungana wagonjwa leo.

   Dk. Shlomi Cohen akishiriki katika shughuli ya kuimba na kucheza na watoto hao leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ujumbe Ubalozi wa Israel Watembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili Leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top