728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 10, 2017

  Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba

  Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael akionesha simu toleo jipya la Tecno aina ya TecnoX1 kwa bei ya Tsh. 99,000/- na Tecno R6 kwa 195,000/- kwa waandishi wa habari mapema mwishoni wa wiki iliyopita., ambazo zinapatikana kwenye banda la Tigo sabasaba na kwenye maduka ya Tigo. Pichani kulia ni Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga.
  Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya akizungumza na wanahabari kwenye maonesho ya biashara ya 41 sabasaba jijini Dar Es Salaam  mapema mwishoni wa wiki iliyopita., kulia ni Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga.
  Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . Pichani kulia ni Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga.
  Mwandishi wa habari wa Clouds Media, Aziz Kindamba akionesha simu aina ya  TecnoX1aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
  Mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo, Regina Kumba akionesha simu aina ya  Tecno R6 aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno leo.
  Waandishi wa habari wakipokea zawadi mbalimbali toka kampuni ya Tecnokwenye  maonesho ya 41 ya sabasaba jijini Dar mapema mwishoni wa wiki iliyopita.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tigo na Tecno wazawadia wanahabari kwenye maonesho ya 41 ya biashara sabasaba Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top