728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 10, 2017

  Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita


  Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita ambapo Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano ya nyumba 50 za watumishi wa afya za mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu. 

  Pia atashuhudia makabidhiano ya kiwanda cha alizeti za Chato. Sherehe hizo zinahudhuriwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na Balozi wa Japan Mhe. Masaharu Yoshida.

   Matangazo haya yatarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam TV, TBC Taifa, Clouds TV na kupitia tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz kuanzia saa 4:00 asubuhi hii. 

  Karibuni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top