728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 14, 2017

  TANZIA: MAZISHI YA PATRICIA NDENENGO SHANG'A WA MLALAKUA DARAJANI JIJINI DAR ES SALAAM KUFANYIKA KESHO


  Marehemu  Patricia Ndenengo Shang'a enzi za uhai wake.

  Familia ya marehemu Mzee Michael John Shang'a ya Msasani Beach (Mlalakua darajani) jijini Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao  dada mpendwa Patricia Ndenengo Shang'a kilichitotokea jana July 13, 2017  hapo nyumbani.

  Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi July 15, 2017.
  Msiba upo hapo hapo nyumbani Mlalakua darajani. 


  Habari ziwafikie Familia zote za Shang'a, Kimesera, Mosha, Mmari, Ngowi, Mmasi pamoja na  ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.

  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI  PEMA PEPONI-AMEN.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZIA: MAZISHI YA PATRICIA NDENENGO SHANG'A WA MLALAKUA DARAJANI JIJINI DAR ES SALAAM KUFANYIKA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top