728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 23, 2017

  Tamasha la Castle Lite Unlocks Iilivyofanyika Leaders, Dar Jumamosi hii

  Angalia Full Video ya Show Hiyo.

   Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini akitoa burudani wakati wa tamasha la Castle Lite Unlocks limefanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam Julai 23, 2017 ambapo kubwa zaidi ameshuhudiwa rapper Future kutoka Marekani na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini wakitumbuiza kwa mara ya kwanza hapa nchini.
  (PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
   Rapper Future kutoka Marekani akitoa burudani.
   Vanessa Mdee. 
   Mashabiki.
   Diamond Platnumz akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kupanda jukwaani.
   Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini akizungumza.
   Navy Kenzo 
  Rapper Future kutoka Marekani  akikabidhiwa zawadi ya picha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tamasha la Castle Lite Unlocks Iilivyofanyika Leaders, Dar Jumamosi hii Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top