728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 14, 2017

  TAESA IKISHIRIKIANA NA ILO YAANDAA PROGRAMU ENDELEVU YA MIAKA MITATU YA KUWANOA WANAFUNZI WA VYUO KUWAJENGEA UWEZO WA KUSHIRIKI KATIKA KAZI KWA VITENDO

  Pichani kati ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa huduma za ajira, Saneslaus Chandaruba akizungumza jambo mbele ya Wanafunzi wa vyuo mbalimbali,waliohudhuria programu endelevu ya miaka mitatu nchini,iliyohusu jinsi ya kuwajengea Misingi bora wanavyuo ya ufanisi wa kazi katika ushiriki wa kazi kwa vitendo katika ofisi au kampuni tofauti Nchini (intern/ Field work).Programu hiyo imefanyika jijini na kuandaliwa na Wakala wa Huduma za Ajira Tz (TaESA ) kwa kushirikiana na Shirika la kazi la Kimataifa (ILO). Pichani kushoto ni Mkurugenzi wa huduma za ajira Tanzania ( TaESA),Kisa Vivian Kilindu na mwisho kulia ni Mwakilishi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Paulina Mabuga
  Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo hao wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa kwenye Programu hiyo endelevu ya miaka mitatu nchini,iliyohusu jinsi ya kuwajengea Misingi bora wanavyuo ya ufanisi wa kazi katika ushiriki wa kazi kwa vitendo katika ofisi au kampuni tofauti Nchini (intern/ Field work).Programu hiyo imefanyika jijini na kuandaliwa na Wakala wa Huduma za Ajira Tz (TaESA ) kwa kushirikiana na Shirika la kazi la Kimataifa (ILO).
  Pichani baadhi ya Wanafunzi wa vyuo mbalimbali,waliohudhuria Programu hiyo endelevu ya miaka mitatu nchini,iliyohusu jinsi ya kuwajengea Misingi bora wanavyuo ya ufanisi wa kazi katika ushiriki wa kazi kwa vitendo katika ofisi au kampuni tofauti Nchini (intern/ Field work).Programu hiyo imefanyika jijini na kuandaliwa na Wakala wa Huduma za Ajira Tz (TaESA ) kwa kushirikiana na Shirika la kazi la Kimataifa (ILO).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAESA IKISHIRIKIANA NA ILO YAANDAA PROGRAMU ENDELEVU YA MIAKA MITATU YA KUWANOA WANAFUNZI WA VYUO KUWAJENGEA UWEZO WA KUSHIRIKI KATIKA KAZI KWA VITENDO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top