728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 13, 2017

  Taarifa ya Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani

  WaTanzania nchini Marekani wanaomboleza msiba wa Profesa Henslay Kabisama aliyefariki huko California mwishoni mwa mwezi June
  Mjane wa Marehemu pamoja na wadau kadhaa waliungana na Mubelwa Bandio katika kipindi cha NJE-NDANI kuongelea mipango ya mazishi ilipofikia sasa.

  Unaweza kushiriki kusaidia gharama za kuusafirisha mwili kupitia akaunti HII ya GoFundME
   
  Karibu uwasikilize

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Taarifa ya Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top