728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 27, 2017

  SPIKA NDUGAI APONGEZWA BAADA YA KUSHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA MASPIKA KATIKA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipongezwa na Naibu Spika wa Cameroon, Mhe.  Monjowa Lifaka baada ya kushinda nafasi ya Mwenyekiti  wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika. Uchaguzi huo umefanyika leo katika Mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika uliomalizika leo Mjini Abuja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA NDUGAI APONGEZWA BAADA YA KUSHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA MASPIKA KATIKA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top