728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 4, 2017

  SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA CRDB BENKI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati alipotembelewa na ugeni kutoka CRDB Benki Tawi la Dodoma, Katikati ni Meneja wa CRDB Benki Tawi la Dodoma Ndg. Rehema Hamisi na kulia ni Meneja Biashara Ndg. Danny Shemdoe, katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
  (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA CRDB BENKI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top