728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 14, 2017

  SHIRIKA LA UMEME TANESCO YAWA YA PILI KATEGORY YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

   Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar,Amina Salim Ali (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti cha Ushindi wa pili kundi la Nishati na Madini,Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu,Yasini Didas Silayo (kushoto) huku Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Profesa Adolf Nkenda,(kulia) na Kiongozi wa Tantrade.
   Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu,Yasini Didas Silayo (kushoto) akishikilia chena na  Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi Tanesco,Dk, Lugano Wilson,baada ya kukabidhiwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SHIRIKA LA UMEME TANESCO YAWA YA PILI KATEGORY YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top