728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 21, 2017

  RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL

   Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo  Mlemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Amekutana na Rais Magufuli na ameomba amshonee Kaunda Suti.Rais Dkt Magufuli yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya siku tatu ya kikazi
  Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na  mmoja wa Walemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Mlemavu huyo amekutana na Rais Dkt Magufuli amshonee Kaunda Suti.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top