728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 3, 2017

  PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA

   Afisa Teknohama wa Islamic Benki ya PBZ ,Rahma Ali akizungumza na mmoja wateja waliofika katika banda lao la Maonyesho lililopo katika Viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba  ambapo benki hiyo inawezesha kufungua akaunti ya Islamic benki na kuwezesha kupata mkopo usiokuwa na riba.
   Afisa Mahusiano wa PBZ -Bank LTD ,Aisha  Ali Mohd akizungumza na mmoja wa wadau waliofika katika banda la PBZ kupata maelekezo namna ya kufungua Akaunti kwenye benki hiyo

   Afisa  Masoko  PBZ Bank, Anas  Rashid Ramadhani akizungumza na wateja juu ya huduma za mikopo na ufungaji wa akaunti katika benki hiyo pamoja na ununuzi wa Viwanja kwa njia ya mkopo ambao utalipwa ndani ya miaka 10 wakati wa Maonyesho ya Sabasaba
   Wafanyakazi wa PBZ ,Hamyer Said na Biubwe Vuai wakimuelekeza mteja aliyefika katika banda hilo faida za Islamic Bank
   Salehe Abdalah akizungumza na mmoja wa wateja waliofika katika banda la Benki ya watu wa Zanzibar PBZ kutaka kufungua akaunti wkati wa Maonesho ya Sabasaba


  Mwajuma Njaritu wa PBZ Islamic Bank akizungumza na mteja faida za huduma hiyo kwa waislamu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top