728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 11, 2017

  NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumzana wanahabari katikati ya Mto Msimbazi chini ya Daraja la jangwani baada ya kupima kiwango cha hewa ya Oxygen katika maji ya mto msimbazi na sampuli za maji hayo kupelekwa katika katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali kwa vipimo zaidi, ili kujua kama maji hayo yana madhara kwabinadamu, mazingira na viumbe hai wengine. 
  Mto Msimbazi unavyoonekana 
  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akiangalia kiasi cha hewa ya Oxygen kilichopo katika maji ya Mto msimbazi akisaidiwa na wataalamu kutoka katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali hawapo pichani, katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Evelyn Mkoko
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top