728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 12, 2017

  Mshindi wa wiki Droo ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi akabidhiwa zawadi yake jijini Mbeya leo


  kurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akifungua simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= na pembeni yake ni mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa mapema jana.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akimkabidhi simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa.

  Wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia makabibidhiano hayo mapema jana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mshindi wa wiki Droo ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi akabidhiwa zawadi yake jijini Mbeya leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top