728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 23, 2017

  MSANII FUTURE KUTOKA MAREKANI NA DIAMOND PLATINUM WA TANZANIA WAACHA GUMZO KATIKA TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS JIJINI DAR ES SALAAM

  MSANII wa muziki wa Hip Hop ambae pia ni mtunzi na mtayarishaji wa muziki mahiri wa nchini Marekani, Nayvadius DeMun Wilburn maarufu kama Future akifanya shoo katika tamasha la Castle Lite Unlocks iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Julai 23, 2017. PICHA ZOTE NA KAJUNASON BLOG/MMG/CATHBERT KAJUNA.
  Msanii wa Kizazi Kipya Vannessa Mdee akiwaburudisha katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  Vijana waliojitokeza katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  Kila mmoja alikuwa na furaha.
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz akiburudisha tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  Wapenda Burudani kutoka nchini Zambia na Kenya ambao walipata udhamini wa bia ya Castle Lite wakifurahi katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  Marafiki wanapokutana huwa wanashow love pamoja.
  Nami pia mmilikiwa wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna (kulia) ambaye nimekuletea picha hizi, nikiwakilisha na mdau Alex.
  Pia Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna (kushoto) nikishow love na timu Zambia na Kenya walihudhuria tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MSANII FUTURE KUTOKA MAREKANI NA DIAMOND PLATINUM WA TANZANIA WAACHA GUMZO KATIKA TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCKS JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top