728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 10, 2017

  MKURUGENZI APIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KILIMO KWENYE VYAZO VYA MAJI

  Mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya MADABA SHIFII MPENDA ametembelea eneo ambalo limeaharibiwa vibaya na baadhi ya wananchi wanaojishughulisha na kilimo pamoja na ufugaji kwenye vyazo vya maji.Haikuwa rahisi kufikia eneo hilo kwani ilitupasa kutembea kwa mwendo mrefu kuweza kufikia eneo husika ambalo ni chazo cha mto NAMAOVI kijiji cha MWANDE kata ya MATETELEKA halimashauri ya MADABA mkoani RUVUMA HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKURUGENZI APIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KILIMO KWENYE VYAZO VYA MAJI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top