728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 26, 2017

  Mheshimiwa Spika ashiriki katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Barani Afrika uliofanyika, mjini Abuja, Nigeria


  Mhe Spika Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Nigeria,Mhe Alhaji Yakubu Dogara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.
  IMG-20170726-WA0034 (1)
  Mhe Spika Job Ndugai akisalimiana na Kaimu Rais wa Nigeria Mhe Prof.Yemi Osinbajo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mheshimiwa Spika ashiriki katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Barani Afrika uliofanyika, mjini Abuja, Nigeria Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top