728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 4, 2017

  MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

  Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Shirika la Ndege la ATCL Bi. Lilian Fungamtama akifurahia jambo na wananchi waliotembelea banda la shirika hilo lililopo katika banda la Maliasili katika maonyesho ya Maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi Julai.
  Baadhi ya wananchi mbalimbali wakitembelea banda la Shirika la Ndege la ATCL katika viwanja vya maonyesho vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa.
  Octavian Nshiu Makamu wa Rais Viwanda Shirika la TCCIA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa shirika hilo katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaa,
  Baadhi ya wadau wa TCCIA wanaoshughulika na mavazi ya viwandani na ujenzi wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top