728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 12, 2017

  Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa


   Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitambulisha mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka, kulia ni mmoja ya wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Zainabu Mtiga.
  blu2
  Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka wakati akitambulisha mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
  blu3
  Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka akielekeza waandishi wa habari (hawapo pichani) namna mashine inavozibadili takataka na kuwa nishati ya mkaa mbadala.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top