728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 14, 2017

  MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MTOTO WA RAIS MSTAAFU KHALFAN KIKWETE


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana amemjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Khalfan Kikwete ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam,Pichani kulia ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiwa na Mkewe Salma Kikwete. (# Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MTOTO WA RAIS MSTAAFU KHALFAN KIKWETE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top