728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 5, 2017

  MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA ADDIS ABABA


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amerejea nchini akitokea jijini Addis Ababa,Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

  Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Makamu wa Rais wa akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva .Katika Ujumbe wa Mkutano huo Makamu wa Rais pia aliambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AREJEA NCHINI AKITOKEA ADDIS ABABA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top