728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 4, 2017

  MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS SUDAN KUSINI

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Kusini Mhe. Jenerali Taban Deng Gai ambapo mazungumzo yao yalihusu kuendelea kudumisha mahusiano baina ya nchi hizi mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika wakati mkutano wa 29 wa wakuu wa nchi na serikali wa Umoja wa Afrika, jijini Addis Ababa ukihitimishwa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS SUDAN KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top