728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 13, 2017

  MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU YASHINDWA KUSIKILIZA KESI YA AGNES MASOGANGE

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu imekwama kusikiliza kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald 'Masogange' kwa sababu ana tatizo la kiafya.

  Hayo yalielezwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya wakili wa serikali, Costantine Kakula kueleza shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kusikilizwa.

  Hata hivyo, wakili wa Masogane, Ruben Simwanza alimueleza Hakimu kwamba mteja wake anaumwa hivyo anaomba kesi iahirishwe.

  Hakimu Mashauri aliahirisha kesi hiyo hadi Julai 25, 2017 kwa ajili ya kuanza kusikilizwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU YASHINDWA KUSIKILIZA KESI YA AGNES MASOGANGE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top