728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 25, 2017

  KUKAMATA VIONGOZI WA KISIASA NA VIONGOZI WA DINI SI KOSA“ IGP SIMON SIRRO ”

  Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amesema kukamata viongozi wa kisiasa na dini si kosa bali ni sehemu ya majukumu ya Jeshi la polisi kukamata kama amevunja sheria. Hii hapa video yenye habari yake.  
  Kazi yetu Ruvuma TV ni kuhabarisha umma, hivyo tumekusogezea matukio sita yaliyotokea mkoani Ruvuma kuanzia Jul 17 – Jul 23, 2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUKAMATA VIONGOZI WA KISIASA NA VIONGOZI WA DINI SI KOSA“ IGP SIMON SIRRO ” Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top