728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 4, 2017

  KAMPUNI YA ZURICH INSURANCE (EA) ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA SABASBA MWAKA HUU

   Muonekano wa Banda la Kampuni ya Zurich Insurance kwa nje katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba mwaka huu.
    Meneja wa Operesheni Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, Abdallah Mahamba (kushoto) akimfafanulia jambo mteja wake aliyefika katika Banda lao la Maonyesho katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

  Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, wakiwa katika Banda lao la Maonyesho.
  Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, wakiendelea kutoa huduma kwa wateja wao katika Banda lao la Maonyesho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMPUNI YA ZURICH INSURANCE (EA) ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA SABASBA MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top