728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 28, 2017

  HIZI NDIZO SABABU KWANINI BAADHI YA VIVUTIO VYA UTALII HATUVITANGAZI -TANAPA

  Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa TANAPA,Bwa.Ibrahim Mussa akifafanua mambo mbalimbali ukiwemo moja ya mjadala kuwa ni kwanini Tanzania ina vivutio vingi lakini havitangazwi,Mkurugenzi huyo ameyazungumza mapema leo kwenye Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza kufanyika jana kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HIZI NDIZO SABABU KWANINI BAADHI YA VIVUTIO VYA UTALII HATUVITANGAZI -TANAPA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top