728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 11, 2017

  Filamu ya "Tusijisahau" yatambulishwa rasmi leo

   Msanii wa Filamu nchini Issa Mussa maarufu kama Clod 112 (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitambulisha filamu yake mpya ijulikanayo kama “Tusijisahau,” katikati ni Mtayarishaji wa filamu hiyo Bi. Amina Musa na kushoto ni Mwakilishi toka Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Esther Ibrahim.
   Mtayarishaji wa filamu ya “ Tusijisahau”  Bi. Amina Musa (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakitambulisha filamu hiyo mapema hii leo jijini dare s Salaam, katikati ni Muigizaji wa filamu hiyo Bw. Issa Mussa maarufu kama Clod 112 na kulia ni Mhasibu wa kampuni ya AMUS Entertainment Bw. Abdul Vencha.

  Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Filamu ya "Tusijisahau" yatambulishwa rasmi leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top