728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 5, 2017

  British Council Yatoa Fursa Kujipima Kiingereza

  Mkurugenzi Mkazi wa British Council nchini Tanzania Bi. Angela Hennely akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu ofa ya jaribibo la mtihani wa Kiingereza inayotolewa na Taasisi yake katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF).Kushoto ni Afisa Huduma kwa Wateja na Mauzo Bi. Leonia Kazimoto na Maneja Maendeleo ya Biashara wa Britishi Council Bi. Amata Bosco.
  Mkurugenzi Mkazi wa British Council nchini Tanzania Bi. Angela Hennely akitoa maelekezo kwa wanafunzi waliofika katika banda lao kwa ajili ya kufanya majaribio ya somo la lugha ya Kiingereza huduma inayotolewa bure na Taasisi hiyo katika kipindi hiuki cha Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara. Huduma hiyo inatolewa kwa lengo la kutambua kiwango cha uelewa wa mwanafunzi ili kujua Kozi hali anayostahili kujiunganayo.
  Baadhi ya wananchi wakifanya mtihani wa majaribio wa lugha ya Kiingereza walipotembelea banda la British Council katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) leo. Britishi Council wanatoa huduma hiyo bure kwa lengo la kumpatia fursa mwananchi kutambua daraja hali analostahili kujiunga nalo ikiwa anahitaji kusoma somo la lugha hiyo
  Mkurugenzi Mkazi wa British Council nchini Tanzania Bi. Angela Hennely akitoa Aakiwasimamia wananchi waliofika katika banda lao kwa ajili ya kufanya majaribio ya somo la lugha ya Kiingereza, huduma inayotolewa bure na Taasisi hiyo katika kipindi hiki cha Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara. Huduma hiyo inatolewa kwa lengo la kutambua kiwango cha uelewa wa mwanafunzi ili kujua Kozi hali anayostahili kujiunganayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: British Council Yatoa Fursa Kujipima Kiingereza Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top