728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 3, 2017

  BRITISH COUNCIL YAANZA KUWAHUDUMIA WANAOTAKA KUJIFUNZA KINGEREZA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

   Meneja Biashara wa kituo cha kijufunza Kingereza cha British Council ,Amata Bosco akizungumza na mmoja wa vijana waliofika kutika kujiunga na programu za British Council hili waweze kuongeza kingereza kwa ufasaha
   Ofisa Huduma kwa wateja ,Leonia Kazimoto  akizungumza wateja waliotembelea banda la British Council katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam  ambapo wanatoa huduma ya mafunzo ya kingereza
   Sehemu ya wadau wa British Council wakiwa wanajisomea ndani ya banda la Tasisi hiyo lililopo katika Viwanja vya Sabasaba


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BRITISH COUNCIL YAANZA KUWAHUDUMIA WANAOTAKA KUJIFUNZA KINGEREZA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top