728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 3, 2017

  Benki ya NIC yakabidhi misaada mbalimbali katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu Mburahati

  Wafanyakazi wa Benki ya NIC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu (jina limehifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam.
   Mkurugenzi mkuu wa uendeshaji wa benki ya NIC, Bi Beatrice Kyanzi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo kimoja cha watu wenye mahitaji maalumu (jina linahifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam
  Picha ya Pamoja.Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Benki ya NIC yakabidhi misaada mbalimbali katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu Mburahati Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top