728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 12, 2017

  Benki ya NBC yashinda Tuzo ya Superbrand Afrika Mashariki

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto),akipokea tuzo ya ubora ya Superbrand Afrika Mashariki kwa mwaka 2017-18 kutoka kwa Mkurugenzi wa Miradi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Hii ni mara ya pili kwa NBC kupokea tuzo hiyo mara ya kwanza ikiwa ni mwaka 2015-16.
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (​wa tatu kushoto), akipozi kwa picha pamoja na baadhi ya wawakilishi wa makampuni yaliyoshinda tuzo za Superbrand Afrika Mashariki katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo jijini Dar es Salaam jana. Hii ni mara ya pili kwa NBC kupokea tuzo hiyo mara ya kwanza ikiwa ni mwaka 2015-16
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Benki ya NBC yashinda Tuzo ya Superbrand Afrika Mashariki Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top