728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 25, 2017

  BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO.

  Watanzania waishio katika mikoa ya MTWARA,RUVUMA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo hususani katika majimbo mawaili ya CABO DELGADO NA NIASSA nchini MSUMBIJI,hayo yamesemwa na balozi wa tanzania nchini MSUMBIJI RAJABU LUHAVI wakati wa mkutano mkutano mkuu wa ujirani mwema kati ya TANZANIA NA MSUMBIJI mkoani RUVUMA.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top