728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 11, 2017

  Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba jana

  Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, wa pili kutoka kulia, akiwa na mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya MIT Group of Companies kutoka Saud Arabia, Sameer Saleh Ahmed, wa pili kutoka kushoto wakiwa ndani ya banda la Kampuni ya Chai Bora kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
  Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh Hemed Mgaza, akipata maelekezo yanayohusu utalii wa Tanzania kutoka kwa Aloyce Songay, Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Binafsi ya Hifadhi Mazingira Karatu (HIMAKA).
  Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Mamlaka ya Korosho Tanzania katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
  Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba jana Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top