728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 21, 2017

  Waziri wa Habari akutana na Wasanii wa Filamu na Waandishi wa Habari wa AFm Dodoma leo

   Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) akiwa na waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo.
   Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu, Ndg Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya walipowatembelea Bungeni leo.
   Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja waandishi wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri wa Habari akutana na Wasanii wa Filamu na Waandishi wa Habari wa AFm Dodoma leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top