728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 8, 2017

  WAZIRI MPANGO AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KATIKA MWAKA 2016 BUNGENI MJINI DODOMA

   Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016, Mjini Dodoma, ambapo katika mwaka huo, pato la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0, likichangiwa na kukua kwa sekta ya ufuaji umeme, kuimarika kwa huduma za usafirishaji na uhifadhi wa mizigo, sekta ya habari na mawasiliano, ujenzi na uchimbaji wa madini na mawe.

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasili katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2016.
  (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MPANGO AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KATIKA MWAKA 2016 BUNGENI MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top