728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 30, 2017

  WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TIGO MJINI DODOMA


  Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akimpa maelezo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma jana.
  Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akiagana na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma jana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TIGO MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top