728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 16, 2017

  WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA

   Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (katikati) akiongea na waandishi wa habari juu ya Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na Ukame. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa hazina Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora na Bw. Timothy Mande Afisa Misitu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utoaji wa tamko la kuadhimisha siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame, mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa hazina Dodoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU JANGWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top