728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 14, 2017

  WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGIA DAMU

  Kila ifikapo juni 14 ya kila mwaka ni siku ya kuchangia damu kwa hiari ,katika mkoa wa ruvuma Wakazi wa manispaa ya songea wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu Lakini licha ya wananchi kujitokeza kwa wingi manispaa ya MANISPAA YA SONGEA yakabiliwa na uhaba wa damu katika hospitali ya RUFAA YA MKOA WA SONGEA,KITUO CHA AFYA MJIMWEMA kama anavobainisha msimamizi wa shughuli za mahabara MAGRETHI NGONYANI. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGIA DAMU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top