728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 2, 2017

  WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA

  Jana, Juni 1, 2017, Wakurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Soka Tanzania (TFDF), Derek Murusuri na Taasisi ya Media Tanzania (TMF) Ernest Sungura, walimtembelea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, ofisini kwake mjini Dodoma. Pichani, Bw Sungura akiongea na Mh Naibu Spika, Dk Tulia Ackson.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WADAU WAMTEMBELEA NAIBU SPIKA DKT TULIA MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top