728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, June 13, 2017

  UNICEF YASAIDIA VITANDA VYA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU ZANZIBAR

   Waziri wa Afya, Mahmoud Thabit Kombo akipokea msaada wa vitanda vya wagonjwa wa kipindupindu kwa Afisa Mkaguzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) Bi. Francesca Morandini katika kambi ya kipindupindu Chumbuni.
  Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alipotembele kambi ya kipindupindu Chumbuni.

  Picha na Makame Mshenga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UNICEF YASAIDIA VITANDA VYA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top