728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 16, 2017

  UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF


  Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani  Maugila Madega


  Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

  Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani  Maugila Madega amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.

  Madega anakua ni mtu wa pili kuchukua fomu ya Urais baada ya Rais anaemaliza muda wake Jamal Malinzi kuchukua mapema asubuhi ya leo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top