728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 15, 2017

  TURKISH AIRLINES YAANDAA IFTAR KWA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Turkish Airlines nchini Tanzania, Ahmet Sahin, akiwakaribisha wageni waliohudhuria Iftar iliyoandaliwa kwa ajili ya wageni na wadau mbalimbali iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya wageni waalikwa wakipakua na kupata chakula cha futari iliyoandaliwa na shirika la ndege la Turkish Airlines. Wageni na wadau mbali mbali wakipata Iftar iliyoandaliwa na Shirika la ndege la Turkish Airlines nchini Tanzania iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Wageni waalikwa wakibadirishana mawazo katika hafla hiyo.  Baadhi ya wageni waalikwa wakiongea na Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Turkish Airlines Tanzania, Ahmet Sahin.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TURKISH AIRLINES YAANDAA IFTAR KWA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top