728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 8, 2017

  TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA

  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma akiwa ofisini kwake na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Nyanduga pamoja na ujumbe alioongozana nao. Ujumbe huo kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ulifika Ofisini kwa Kaimu Jaji Mkuu kwa ajili ya kujitambulisha kwake, kumpongeza kwa kuteuliwa pamoja na kuzungumzia masuala ya Ushirikiano baina ya Tume hiyo na Mahakama ya Tanzania.
  JAJI2 JAJI3
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top