728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, June 4, 2017

  TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU

  Tembo 110 wamevamia mashamba ya wananchi na kufanya uharibifu wa mazao katika kata za Mbati,Kalulu,Namwinyu na Jakika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma na kuua mk azi mmoja wa Mbwembwele aliyejulikana kwa jina moja la Kalengo mwenye umri wa miaka 70, Taarifa zaidi hii hapa video yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top