728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 14, 2017

  TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHUGHULI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI.


    Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge ,Kazi, Vijana na Walemavu Mhe. Jennista Mhagama akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Bwana Ladislaus Mwamanga Cheti cha Ushindi wa Kwanza katika ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi nchini.


   Baadhi ya wafanyakazi wa TASAF wakifurahia ushindi wa kwanza ambao Mfuko huo umepata kwa mwaka 2017 kati ya mifuko 19 inayoshughulikia uwezeshaji wananchi kiuchumi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHUGHULI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top