728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 30, 2017

  SPIKA WA BUNGE NDUGAI AKIFATILIA KWA UMAKINI MISWADA YA MALIASILI

  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi wa maliasili za Nchi.kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma jana Katika Ukumbi wa Msekwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA WA BUNGE NDUGAI AKIFATILIA KWA UMAKINI MISWADA YA MALIASILI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top